kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 18,585
- 16,780
Simba wakipoteza, watatuongezea sababu za kuandamana hapo keshoKila lakheri wageni.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simba wakipoteza, watatuongezea sababu za kuandamana hapo keshoKila lakheri wageni.
Mnashangilia mkiwa nyumbani au mtaenda uwanjani?Hakuna jinsi
Ubaya ubwela
Wana yanga wote popote mlipo naomba tuungane wote kwa pamoja kuishangilia timu ya
Al ahly Tripoli hii ndio timu yetu kule Libya
Ubaya ubwelaaaaa
Fika fainali upate medali sasaTunaonesha ukubwa wetu caf leo
Roho ngumu sana nyie wajubaKila lakheri wageni.
Nawaona fainali 😎Uko Sahihi kabisa mwanetu!!
Mmeamua kuwa wasemaji wetu.Kadri muda unavyozidi kwenda ndivyo mioyo ya wana Simba inazidi kukosa amani.
Wapi, uwanjani au kwenye keyboard?Wana yanga wote popote mlipo naomba tuungane wote kwa pamoja kuishangilia timu ya Al ahly Tripoli
Upo sahihiHakuna jinsi
Ubaya ubwela
Wana yanga wote popote mlipo naomba tuungane wote kwa pamoja kuishangilia timu ya
Al ahly Tripoli hii ndio timu yetu kule Libya
Ubaya ubwelaaaaa
Aibu iwapate ..Hakuna jinsi
Ubaya ubwela
Wana yanga wote popote mlipo naomba tuungane wote kwa pamoja kuishangilia timu ya
Al ahly Tripoli hii ndio timu yetu kule Libya
Ubaya ubwelaaaaa
Yaani kama mimi nilivyoangalia game ya janaLeo nitaangalia hii mechi huku nikiwa nimeweka miguu juu ya meza, na lita zangu kadhaa za pombe ya mnazi mezani! Yaani ni no stress at all!
Sawa sawa ila sie tuna tunatunza risitiHuyu Mwarabu namkula bila kondom
Weka mil 2 kabisa mkuu leo amejitahidi sana drw ya magoli byebyeNimeweka 500,000 Simba inafungwa leo