Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imefika fainali ilikutana na nani?Yanga imefika fainali, tupo hapa mafuta na maji vitajitenga vyenyewe.
Hawa waarabu watu wa ajabu sana, eti mwisho wa mechi wanamlalamikia refa wakati goli la halali kabisa limekataliwa na ile red card hawajapewa.Wanasema ilikuwa ni off side
Acha ukigeu geu, tulia ulambe ban🤣🤣🤣🤣Nilisema na ninasema tena, simba asipofuzu nipigwe ban msimu mzima wa mashindano ya shiikisho.
Yanga Bingwa.Bado hujasema.
Ongeza sauti
Shida yake hakomi, Kila mechi anatuombea mabaya tu 🙌Labani og sasa itakuaje chalii wangu? Nilikuunga na mkono. Sema nini hawa ni baiskeli ya mabua, hawafiki mbali. Tutakuombea kwa mods wasikubamize au vipi.
Hivyo mtu atakuwa sawa kusema kuwa Man Utd ni team ndogo licha utajiri wake?Acha kupindisha.
Manchester united ni timu tajiri kuliko Barcelona.
Ukiitoa Real madrid na Man city.
Barcelona ni timu yenye uchumi wa kawaida na sasa hivi umeporomoka toka kuingia kwa Corona 2019.
Ila Barcelona ni timu kubwa kihistoria na kimakombe kuliko Manchester United.
IKiwa ina makombe mengi ya ligi na ikiwa na makombe matano ya Uefa.
Tuje kwa Yanga na Tripoli.
Nani ana viwango vikubwa vya CAF!??
Mmeshinda njaa?Huo ushindi wenu sisi hautuhusu. Tunachoju a ni kwamba sisi tumeshinda......
Rudia kusoma comment yangu vizuri kabisa.Acha ukigeu geu, tulia ulambe ban🤣🤣🤣🤣
Hahahaaa! LolYatakushinda😁😁😂.
Unadhani Mungu wenu Peke yenu.
Mungu wetu sote
Yes, tena ni Chuo cha Kati, wala si chuo kikuu6 umemfunga nani?
CBE ni chuo sio Club ya mpira labda kama wewe hufuatilii Campus za vyuo vya hapa Bongo vilizopo nje, na pamoja na hivyo bado mkapewa wa first year.
Yani mnatembelea dusko tu.
Msimu wa juzi mkiwa kwenye hii michuano hamkuwahi kupangwa na timu yenye intensity yenye hadhi sawa na Al Tripoli.
Mmekuwa mkioangwa na vitimu vya ajabu ajabu mara Bamako, na wale Wazaramo wa Afrika Kusini.
Na ndio maana wakati wenu yaliitwa mashindano ya losers kulingana na washindani ambao walikuwa wanashiriki.
Mpaka CAF wakafikiria kuyafuta.
Almanusra CAF wafute mashindano mazuri kwasababu ya vibonde wachache waliojikusanya kama organization ya Kikoba.