FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Acha kupindisha.
Manchester united ni timu tajiri kuliko Barcelona.
Ukiitoa Real madrid na Man city.
Barcelona ni timu yenye uchumi wa kawaida na sasa hivi umeporomoka toka kuingia kwa Corona 2019.
Ila Barcelona ni timu kubwa kihistoria na kimakombe kuliko Manchester United.
IKiwa ina makombe mengi ya ligi na ikiwa na makombe matano ya Uefa.
Tuje kwa Yanga na Tripoli.
Nani ana viwango vikubwa vya CAF!??
Hivyo mtu atakuwa sawa kusema kuwa Man Utd ni team ndogo licha utajiri wake?

Kama jinsi ambayo unajaribu kusema Al Ahly Tripol ni team ndogo SANA kwa Yanga licha ya utajiri wake na ukubwa wake huko Lybia?

Mimi nasema hivi compared to Yanga Sc Al Ahly sio team ndogo sana, wewe nionyeshe huo udogo wake.
 
Tupo live tumewachoma😆
FB_IMG_1727017443979.jpg
 
6 umemfunga nani?

CBE ni chuo sio Club ya mpira labda kama wewe hufuatilii Campus za vyuo vya hapa Bongo vilizopo nje, na pamoja na hivyo bado mkapewa wa first year.

Yani mnatembelea dusko tu.

Msimu wa juzi mkiwa kwenye hii michuano hamkuwahi kupangwa na timu yenye intensity yenye hadhi sawa na Al Tripoli.

Mmekuwa mkioangwa na vitimu vya ajabu ajabu mara Bamako, na wale Wazaramo wa Afrika Kusini.

Na ndio maana wakati wenu yaliitwa mashindano ya losers kulingana na washindani ambao walikuwa wanashiriki.

Mpaka CAF wakafikiria kuyafuta.

Almanusra CAF wafute mashindano mazuri kwasababu ya vibonde wachache waliojikusanya kama organization ya Kikoba.
Yes, tena ni Chuo cha Kati, wala si chuo kikuu
 
Back
Top Bottom