FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

FT: Simba SC 3-1 Al Ahly Tripoli | CAFCC | 2nd Leg | Benjamin Mkapa Stadium | 22-09-2024

Screenshot_20240922-184306_Instagram.jpg
 
Umeshabadilika. Unakuwa kama yule samaki mwenye jinsia mbili akishindwa kupanda anapandwa. Wewe si ndio ulikuwa unasema Simba mbovu itafungwa na hao wajomba zako waarabu
Kolo unatafuta bwana kwa nguvu, leta ushahidi niliposema hao walevi wangewafunga
 
Kuna wajinga wameumia sana SIMBA kushinda hii mechi
Nikiwa Mtanzania mwenye asili ya kiarabu tokea pale Tripoli Libya. Nawaombea ushindi timu yetu Al Ahly Tripoli ushindi. Hao wengine lolote liwakute. Uzuri tutazika hapahapa...
😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣
Naitwa Eliona Rwezahura kutoka Biharamulo, Naitakia ushindi club yangu Al ahly tripoli. Natuma salamu kwa Godwin Rwechungura akiwa Muleba na Mujuni Tibaijuka wakiwa Muleba. Ujumbe Tripoli Nguvu mbili
FB_IMG_1726985130554.jpg
 
Yanga Leo wameumia kuliko hata kocha wa Al ahly Tripoli... Nashangaa wao wamecheza mechi Yao wameshinda na sisi tumecheza mechi yetu tumeshinda LAKINI nashangaa yanga hawana Raha kabisa....
 
Back
Top Bottom