FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Mamelody wameshikiliwa bomba na supersport mpaka sasa ni 1-1

Mechi ikiisha hivyo utaona baadaye vijana wa Mwakalebela wakihamasika kuwa nao wanaweza kupata matokeo kama hayo
Mkuu hawa vyura wasije tushangaza tena.

"Wamerudisha moja SFG"
3-1
 
Bwana yenu al ahly apendezwi na mnavyo cheza jaribuni kukatika vzuri ..
 
Angalau leo tunashuhudia mechi halisi ya soccer, siyo yale maigizo ya jana.
Ingekua yanga hapa singida angekua kashachukua 5. Simba kapoteza chances nyingi mpaka singida wamerudi mchezoni
 
Basi hujui kinachoendelea mkuu,pole sana
 
Mamelody wameshikiliwa bomba na supersport mpaka sasa ni 1-1

Mechi ikiisha hivyo utaona baadaye vijana wa Mwakalebela wakihamasika kuwa nao wanaweza kupata matokeo kama hayo
... πŸ—£οΈ π˜Όπ™†π™„π˜½π˜Ό π™”π˜Ό π™ˆπ˜Όπ™‰π™€π™‰π™Š

Tuweke akiba ya maneno ✍️

"Yanga habari yao imeishia hapo, Unashindwa kumfunga Mwarabu nyumbani kwako, timu kubwa Tunisia Club Africain πŸ‡ΉπŸ‡³ utegemee kushinda kwake, wanaenda kutalii"

Full β€” πŸ‡ΉπŸ‡³ Club Africain 0 - 1 Yanga
______________________________

"Mamaa hahahaa wamepangwa na TP Mazembe na Mwarabu (US Monastir), wakivuka hili kundi mnikate mkono"

Full β€” Yanga 3 - 1 Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©
Full β€” πŸ‡¨πŸ‡© Mazembe 0 - 1 Yanga
Full β€” Yanga 2 - 0 US Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³

1. Young Africans πŸ‡ΉπŸ‡Ώ β˜‘οΈ
2. US Monastir πŸ‡ΉπŸ‡³ β˜‘οΈ
3. Stade Malien πŸ‡²πŸ‡±
4. TP Mazembe πŸ‡¨πŸ‡©

πŸŽ–οΈ Final (CAF-CC).
_________________________________

"Mwaka huu ukitolewa kwa wakubwa huangukii kombe la LUZA, karibuni kwenye mashindano ya wakubwa. Hahaha wamepangwa na Al-Ahly, na CR Belouizdad πŸ‡©πŸ‡Ώ bingwa mara 4 mfululizo wa Algeria πŸ‡©πŸ‡Ώ, kuingia robo fainali kwa hao waarabu ni jambo la kawaida.. Yanga atamaliza wa mwisho kwenye kundi"

"Akikutana na Al-Ahly atapigwa (5-0)"

Group stage final ;

1. πŸ‡ͺπŸ‡¬ Al-Ahly Cairo β˜‘οΈ
2. πŸ‡ΉπŸ‡Ώ Young Africans SC β˜‘οΈ
3. πŸ‡©πŸ‡Ώ CR Belouizdad
4. πŸ‡¬πŸ‡­ Medeama
_______________________________

"Yanga kapigwa (3-0) na CR Belouizdad waje wapindue meza hapa kwa bao (4-0) hahaha wanaota ndoto mchana, Yanga akienda robo fainali CAF-CL NIBAKWE na Serikali isiingilie"

Full β€” Yanga 4 - 0 CR Belouizdad πŸ‡©πŸ‡Ώ
____________________________

"Kwisha habari yao, Hahaha wamepamgwa na Mamelodi Sundowns πŸ‡ΏπŸ‡¦, Yanga anaenda kupigwa nyumbani na ugenini, Wameshatoka. Yanga akimtoa Mamelodi nyumba yangu ichomwe moto"

Full β€” Yanga ? - ? Mamelodi πŸ‡ΏπŸ‡¦ ...
 
Goli la Singida kafunga nani...... we kolokwinyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…