FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Singida sio wagumu kihivyo. Ila kwa kuwa benchi la ufundi la Simba kila siku halijui kwa nini wanapata ushindi kwa shida au saa nyingine sare au hata kufungwa waache waendelee kujikaba wenyewe. Kuna wachezaji wawili kwenye listi ya leo wanaenda kuikaba timu badala ya kuisaidia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…