FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Mwigulu kawatema na kawafukuza singida, wamehamia mwanza na mwigu kainunua ihefu kaihamishia singida
 
Mamelodi wanawasalimia nimewaona wanajilamba midomo sijawaelewa kabisa wanamaanisha kitu gani ..
😂😂😂 Mamelodi wamezoea Comments 100 hadi 200 kwenye post zao za Social Media, leo Wameipost Utopolo Comments 3000 😂😂
 
Mwigulu kawatema na kawafukuza singida, wamehamia mwanza na mwigu kainunua ihefu kaihamishia singida
Hii ya Mwigulu kuinunua Ihefu sijaipata bado, utakuwa ni mchezo amefanya kwa manufaa ya vyura baada ya kuona Ihefu pale kwao Mbeya utopolo huwa wanateseka sana
 
Simba tukifanyia kazi hili la kupotea kwa mipira wajati wa mashambulizi itakuwa poa sana.

3-0 Fredi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…