denoo JG
JF-Expert Member
- Oct 27, 2023
- 2,701
- 9,759
Mamelodi wanawasalimia nimewaona wanajilamba midomo sijawaelewa kabisa wanamaanisha kitu gani ..Offside ya wazi kabisa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mamelodi wanawasalimia nimewaona wanajilamba midomo sijawaelewa kabisa wanamaanisha kitu gani ..Offside ya wazi kabisa
Tutawapiga nyumbani na ugeniniMamelodi wanawasalimia nimewaona wanajilamba midomo sijawaelewa kabisa wanamaanisha kitu gani ..
Mwigulu kawatema na kawafukuza singida, wamehamia mwanza na mwigu kainunua ihefu kaihamishia singidaSingida Fountain Gate iliitwa hivyo baada ya Singida United ya Mwigulu kuungana na Fountain Gate walio na timu ya wanawake ili Singida apate kibali cha kucheza mechi za CAF, ndio akashiriki shirikisho.
Tambua CAF bila kuwa na timu ya wanawake huwezi kushiriki mashindabo yao ya wanaume, ligi ya mabingwa Afrika na shirikisho.
Hivyo kuanzia sasa futa hiyo habari ya Ihefu na Mwigulu kwenye kichwa chako.
Hii inasaidia kujiepusha na BP, tumaini la uongo.Tutawapiga nyumbani na ugenini
Hii ya Mwigulu kuinunua Ihefu sijaipata bado, utakuwa ni mchezo amefanya kwa manufaa ya vyura baada ya kuona Ihefu pale kwao Mbeya utopolo huwa wanateseka sanaMwigulu kawatema na kawafukuza singida, wamehamia mwanza na mwigu kainunua ihefu kaihamishia singida
Nilijua wazi kwamba penalty yoyote ile ni Saido tu ndiye atakayetaka kuipiga.View attachment 2932764
Muda ni Saa 2:15 Usiku.
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
View attachment 2932807
Kikosi cha Singida FG Kinachoanza
View attachment 2932837
#nguvumoja#.
Updates...
Dakika ya 5'
Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama.
Dakika ya 8'
Penati wanapata Simba.
Anaipiga Saidoo
Goaaaaaaaaalllll
2-0.
Mzee ulikuwa wapi? Mbona ishu inakaribia miezi miwili sasaHii ya Mwigulu kuinunua Ihefu sijaipata bado, utakuwa ni mchezo amefanya kwa manufaa ya vyura baada ya kuona Ihefu pale kwao Mbeya utopolo huwa wanateseka sana