FT: Simba SC 3-1 Singida Fountain Gate | NBC Premier League | 12.03.2024

Bahasha imetembea ili kuwaaminisha mashabiki kuwa nao wanafunga goli nyingi
 
Ayoub ameokoa mpira hatari sana hapa
 
Hawa Singida sidhan kama wanafanya mazoezi! Wachezaji wahapo fit, wanacheza kama chandimu
 
Mzee ulikuwa wapi? Mbona ishu inakaribia miezi miwili sasa
Nashangaa sijaskia hii kitu kabisa..

Mwigulu anazidi kutuharibia mpira wetu kwa manufaa ya vyura, na ndio hao wanaingia mkataba wa siri na TFF wasiotaka uhojiwe na yeyote...

Tuna shirikisho la mpira la kipuuzi na corrupt sana.
 
Matola Leo panga kikosi kamili.
Mambo ya kuwajalibu akina Gwede hatutaki.
1. Kipa Mwarabu
2. Shabalala
3. Kapombe
4. Mdogo wangu Che Mallone
5. Innonga
6. Ngoma Fabris
7. Kibu
8. Kannoute
9. Pa Jobe Omar
10. Chama
11. Chasambi.
Che Malone ni mdogo wako [emoji38] ila wabongo mnanishinda tabia aisee.....

Sent from my SM-A042F using JamiiForums mobile app
 
Nashangaa sijaskia hii kitu kabisa..

Mwigulu anazidi kutuharibia mpira wetu kwa manufaa ya vyura, na ndio hao wanaingia mkataba wa siri na TFF wasiotaka uhojiwe na yeyote...

Tuna shirikisho la mpira la kipuuzi na corrupt sana.
Baada ya Mapinduzi cup. Hii sio Singida ya Mapinduzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…