Paul dybala
JF-Expert Member
- Jul 30, 2023
- 524
- 2,097
Hivi simba na singida situlishawakanda wote Hawa Kila mmoja mkono mkono au?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yale yasiyovuka mstari ndio yananoga[emoji81]mbona hamna furaha humu magoal ya rede n penalty hayanogi kwani
Walihongwa hadi galaxy si ndio?Bahasha imetembea ili kuwaaminisha mashabiki kuwa nao wanafunga goli nyingi
Sasa galaxy nayo timu. HaaahaaaWalihongwa hadi galaxy si ndio?
Hawa Singida sidhan kama wanafanya mazoezi! Wachezaji wahapo fit, wanacheza kama chandimuView attachment 2932764
Muda ni Saa 2:15 Usiku.
Kikosi cha Simba Kinachoanza.
View attachment 2932807
Kikosi cha Singida FG Kinachoanza
View attachment 2932837
#nguvumoja#.
Updates...
Dakika ya 5'
Goooooal kupitia kwa Saidoo baada ya kipa kuutema mpira wa Chama.
Dakika ya 8'
Penati wanapata Simba.
Anaipiga Saidoo
Goaaaaaaaaalllll
2-0.
Dakika ya 34'
Fredddd Goooooooooooal
Simba wanapata goli la 3.
3-0
Nashangaa sijaskia hii kitu kabisa..Mzee ulikuwa wapi? Mbona ishu inakaribia miezi miwili sasa
Che Malone ni mdogo wako [emoji38] ila wabongo mnanishinda tabia aisee.....Matola Leo panga kikosi kamili.
Mambo ya kuwajalibu akina Gwede hatutaki.
1. Kipa Mwarabu
2. Shabalala
3. Kapombe
4. Mdogo wangu Che Mallone
5. Innonga
6. Ngoma Fabris
7. Kibu
8. Kannoute
9. Pa Jobe Omar
10. Chama
11. Chasambi.
Umeandika huku unatetemeka bwashee..Hawa Singida sidhan kama wanafanya mazoezi! Wachezaji wahapo fit, wanacheza kama chandimu
Baada ya Mapinduzi cup. Hii sio Singida ya Mapinduzi.Nashangaa sijaskia hii kitu kabisa..
Mwigulu anazidi kutuharibia mpira wetu kwa manufaa ya vyura, na ndio hao wanaingia mkataba wa siri na TFF wasiotaka uhojiwe na yeyote...
Tuna shirikisho la mpira la kipuuzi na corrupt sana.