FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Aunt Leo tumejipata [emoji3]
Tumejipataaa haswaaa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ankoli wako alitaka kunipora cm kisa nimevurugwa napigia wana utopolo na kuwatukana, nkamjibu kwa kifupi.

"Kati ya wee na simba nani alimkuta mwenzake kwangu?, nijie kwa password wee ba tamu" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kapoaa huyo akat nae ni shabiki wa Simba, huo ustaarabu akiweza yeye inatosha mie aniachee leo kazi yangu kuponya wagonjwa wanaoteseka..

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hizo goli 6 unamfunga Mamelodi au Al Ahaly? Hilo ndio la kujiuliza, hao wacheza Makhirikhiri Wana rank gani?
Kwani wee uto umewahi mfunga nani kati ya hao uliotaja?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umevurugwaaa au?
 
Kwahio leo utagawa matako bure bure hapo river side
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Yani wew kichwa chako umuua Kwa presha ankowangu
 
Yule chama apewe kiwanja chanika ekari 100
Sanamu la chama liwekwe viunga vya msimbazi..

Japo nimeshangilia mpira wa timu yetu Simba nikiwa kitandani nauguza jeraha la kuvunjika mguu wa kushoto

Ila siku ya Leo imekua nzuri na furaha sanaa Kuna muda nilijikuta nataka kunyanyua mguu wenye HOGO

ALL IN ALL,
Simba Guvu Moja 😊😊😊😊
 
Amefunga?
Ndo aliyefunga ila wamefungwa nyumbani na kibonde mwenzake na wame
Pole sana mkuu,cha msingi furaha ipo maana ndo inayoponyesha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…