FT: Simba SC 6-0 Jwaneng Galaxy | Benjamin Mkapa Stadium | 02.03.2024. 19:00 EAT | Simba yafuzu Robo Fainali

Mungu akuponye haraka mwanasimba Simba leo imejituma ila beki za galaxy zinakabia macho.
 
[emoji23][emoji23][emoji23]Yani wew kichwa chako umuua Kwa presha ankowangu
Anko wako mstaarabu eti, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye mashabiki wa uto wakiwa wananinanga anasema potezea usijibu, naweza wapi? Heka heka hapa kwangu ndo kituo.

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimevurugwaa leo aunt.
 
Hali mpaka sasa ni shwari licha ya goli 6 lakini 4 zilitaka kumtoa mtu roho, usiku mwema
 
Oooh poleee sanaa, hope ushindii huu umekata maumivu ya jeraha lako.
[emoji120][emoji120]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…