FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Kila la Kheri Mnyama Mkali Mwituni

Timu kubwa na Bora Afrika yenye kusakata kabumbu lenye viwango vilivyothibitishwa na CAF
Sio kwa wananchi, labda hizo timu B zenu kama Azam
 
Mukitufunga sisi ndio mutakua timu kubwa kwa mara ya kwanza, lasivyo mutabaki kua timu ya kubahatisha ndulute iliyo mgongoni mwa TFF.
 
Usikimbie hapa wewe Utopolo kama anavyokimbiaga mwenzio Okwaaa
Utopolo ndio kikolokolo gani hicho? acha ujinga kwanza.
Nikimbie nini?

Babu umesahau nilicho kufanya mechi ya mwisho iliyo tukutanisha!

Mbona mikia munajiamini sana!
Hivi munachukulia Wananchi ni tawi lenu kama ilivyo Azam?

Bro leo nakuvesha jeje[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…