Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
😂 😂 😂 😂[emoji41][emoji41][emoji41]..mkuu nitakurudia baadae mechi ikiisha
Now Mimi siyo rafiki yako[emoji21]
Jamaa wanatutafuta sn..wachezaji wa Simba utafikiri wanacheza uwanja wa mchangani,wazito kishenzi yaaniAfu sijui kwanini simba imekua ya kwanza kucheza rough
Uharibifu wa helaSimba tumnunue Kisinda 😁
😂 😂 😂 😂
Yupo upande wa mzee wa Msoga [emoji1787][emoji1787]Hivi wadau Madame presidaa yupo upande upi?
Wanaojua tafadhari!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Moto wa Kisinda unauona lakin?Mkuu we tulia hii ngoma inaisha simba akiwa bingwa.
Hakuna mchezaji wa yanga mwenye uwezo wa kupenyeza goli, labda simba wajifunge lapili
Bado muda upo..nitakushangaza,subiri uone[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nguvu hiyo hutakuwa nayo, leo mnakula 2.
Ebu attach ata moja.Nenda kwenye uzi wa Derby special thread kule kuna link zimewekwa kama zote.
Akimtag akutag nawe ukitagiwa unitagAkikutag unitag
Ngoja tuone....Bado muda upo..nitakushangaza,subiri uone
Jiandae kuhesabu magoli 2nd 1/2
Mi nimetoka banda umiza now niko home naskizia earphone tu, ila nahakika hii game simba inakwenda kushinda endapo nidhamu ya wachezaji itarejeaJamaa wanatutafuta sn..wachezaji wa Simba utafikiri wanacheza uwanja wa mchangani,wazito kishenzi yaani
Na huyu tuisila anavyopenda sifa sasa!!