FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

FT: Simba SC Vs Yanga SC (0-1)| Simba yashindwa kutwaa Ubingwa wa Ligi kuu uwanja wa Benjamin Mkapa

Simba imezidiwa. Imefika golini kwa Yanga mara 2, Yanga kafika mara 8

Halafu Simba ndio inaongoza ligi.

Kila Rais akija kucheki game za Simba huwa wanatobolewa tundu.
 
Jamaa wanatutafuta sn..wachezaji wa Simba utafikiri wanacheza uwanja wa mchangani,wazito kishenzi yaani

Na huyu tuisila anavyopenda sifa sasa!!
Mi nimetoka banda umiza now niko home naskizia earphone tu, ila nahakika hii game simba inakwenda kushinda endapo nidhamu ya wachezaji itarejea

Kwasasa huwezi kupeleka lawama kwa kocha, sometimes unaona kabisa kuwa wachezaji ndio wanao liwisha. Jaribio la chama linaleta ahueni japo sio formation ya simba kucheza counter attack
 
Back
Top Bottom