Stephen Ngalya Chelu
JF-Expert Member
- Oct 31, 2017
- 8,252
- 18,335
Wazee wa kikosi kipana...Kiko wapi sasa. ๐๐๐๐๐
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Wazee wa kikosi kipana...Kiko wapi sasa. ๐๐๐๐๐
Mupunguze kutudharau sasa.Hongera mtani
Kinakuja tar 25Kiko wapi sasa. ๐๐๐๐๐
Tarehe 25 tunawazika. ๐๐Wazee wa kikosi kipana...
Kuna comeback kigoma inakuja ile ndo funga biashara.Tuandamane ๐
Star ni star bro au sioArnold Schwarzenegger hakuliua kirahisi li predator, ilimlazimu aingie hadi kwenye tope na kuishi msituni ambapo alisongwa na majani ya upupu lakini mwisho wa movie star ni star tu
Nimeamini mpira sio wa kubeti[emoji23][emoji23][emoji23]ungenunua kilo ya nyama ukawapikia watoto
Ahsante Mkuu. ๐Hongera ili Gentamycin na OKW BOBAN SUNZU watulie
Yamekua haya tena mkuu [emoji1787][emoji1787][emoji1787]Wameshinda goli moja ila Mtaani shangwe kibao utafikiri lulu katoka jela
Wangeshinda 4 kama sisi je ingekuwaje?
Afu goli lenyewe tumefunga sisi...Daaah
Kamoja katamu wewe.Wameshinda goli moja ila Mtaani shangwe kibao utafikiri lulu katoka jela
Wangeshinda 4 kama sisi je ingekuwaje?
Afu goli lenyewe tumefunga sisi...Daaah
Nguruwe goli 1 watoto 12, hata wewe mwenyewe kutungika kwa kijusi chako na kuzaliwa kiumbe hai ni matokeo ya goli 1 tu.Wameshinda goli moja ila Mtaani shangwe kibao utafikiri lulu katoka jela
Wangeshinda 4 kama sisi je ingekuwaje?
Afu goli lenyewe tumefunga sisi...Daaah
Nyie mashabiki wa baada ya matokeo tunawajua, mnakuja kwa timing mkifunhwa manasepa speed kama kunguni kaona mwangaSi mlisema tumewakimbia....!?
Mikia oyeeeeeeee....
Muheshimu Sana mtu anaye bet, narudia tena, Muheshimu mtu anayebet, ile sio kazi ya kitotoNimeamini mpira sio wa kubeti