FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Mtanuonea simba ina kikosi very poor kanoute hana Quality ya kukaa kiungo simba
 
Kiufundi SIMBA inashida wa kimfumo..
Utengenezaji wa nafasi....
 
Nawasiwasi na uwezo wa mgunda, mechi ngumu zote hajapata ushindi. Ukianza na Kmc, Azam, Yanga na leo singida. Tusipumbazwe na matokeo ya cafcl njia tuliyopitia ni nyepesi sana
 
Mnaotucheka hapa, baadaye msije na dhana ya kiujamaa kusema uzalendo

Ili siku iwe mbaya kwetu ni kuwa na hakika kuwa nyinyi mtashinda

Tukifungwa tutakuwa tumepoteza points 3 basi nyinyi mnabidi mshinde ili muwe na siku nzuri zaidi

Kwasababu mkifungwa mtakuwa mmepoteza points 3 na millions of money pamoja na CV mbovu

Pia hamtaishia hapo tu hata safari ya kocha itakuwa mwisho wake ndio hapo, wale vibopa mliokuwa mnawasifia wote wataonekana wana damu ya mandonga tu
 
Kiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiibuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
simba wana wasiwasi wanajua wanakipiga na mabingwa mara 28 kumbe n sbs
 
Kibu hana kiwango cha kuchezea Simba SC
 
Nafasi 3 alizokutanana nazo Kibu ingekuwa Phiri angefunga bao 4
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…