uberimae fidei
JF-Expert Member
- Dec 16, 2016
- 2,679
- 4,283
Yanga Leo wanaenda kumpiga mtu Kama ngomaNa wewe nae uje pm nikupe 15k baadae. Ile atmosphere tuu ya rhades tayari wala mihongo watakuwa wanatetema.
Alafu ujue wale jamaa wana tabia ya star players wao kutocheza away match
Matokeo yakiwa hamjafurahia jumba bovu anaangushiwa Matola, ila matokeo yakiwa upande wenu sifa nyingi zinaenda kwa Jumanne Mgunda. Na maneno kede kede kuwa Guardiola mnene. Basi kwa zuri na baya, tambueni uwepo wa Matola.Mgunda kivuli tu pale matola ndo head coach wa simba kumuanzisha kanoute mkude na mzamiru zile ni tactics za matola sio mgunda naamini hvyo.
Sawa sawa huu utaratibu wa kuombeana dua mbaya ndio tuliouzoea and we are okay with thatHii timu haikutakiwa kupata hata sare! Ila siyo mbaya. Kudondosha hata hizo pointi 2, bado ni faida tosha kwa wananchi.
Tujiandae pia mida ya saa 2 usiku kusherehekea mapinduzi ya meza kutoa Utunisian[emoji3][emoji3]Na hawataamini.
Dooh.Nasema hivi....mkitonoa leo pale rhades. Tuma namba yako pm nikutumia 15k.
hua hamkosi manenoNimependa professionalism ya wachezaji wa zamani wa simba wamecheza kama hawakuwahi kucheza simba kipindi cha nyuma medie kagere na ndemla wamekiwasha leo sio wale kina mateo Antony na Vincent chikupe walivyocheza walipokutana na yanga mpaka wakatoa asist ya goli ngoja tuone mechi ya yanga kama singida watapania kama leo.
Angalia record utakuwa umesahu labdaSisi hatujwahi kuwa kibonde.. labda akili zinawaaamisha hivyo Azam haijawahi mfunga Simba zaidi ya juzi.
Umeme wamekata, ukiona kimya jua charger imeniangusha na inaishia hapa ...Usije ukapotea tuu mida ya saa nne usiku ukaleta kisingizio upo na shemeji
Ndio ndio mdogo wangu.Tujiandae pia mida ya saa 2 usiku kusherehekea mapinduzi ya meza kutoa Utunisian[emoji3][emoji3]
Hata tukichezaa mechi 100 na simba kwa ile team hawezi mfunga AzamWachezaji utawajua mechi ya marudiano na wanalamba lamba
Braza acha ndoto za kina Bantu lady leo mnafukuza bwana nabi. Pipa la emirates kurudi dar hatapanda🤣🤣🤣🤣Yanga Leo wanaenda kumpiga mtu Kama ngoma
AiseUmakini mdogo Sana kwenye nafasi tunazopata. kama na kwenye cuf tutaenda hivi ,kupata nafasi 10 moja ndo ufunge tu-low expectations tu.
We una kibu ndani anakosa magoli ya wazi then tutegemee ubingwa hakuna kitu kama hicho mi Simba naipenda ila kibu kucheza dakika zote acha Yanga awe BingwaUmakini mdogo Sana kwenye nafasi tunazopata. kama na kwenye cuf tutaenda hivi ,kupata nafasi 10 moja ndo ufunge tu-low expectations tu.
Ngoja nitafute ile chart ilokua inatembea humu labda kama nimekoseaAngalia record utakuwa umesahu labda
Simba kamfunga Azam game 10 kama sikosei na Azam kamfunga simba game 8 kama unabisha na hili utakuwa unabisha bila facts
Kwa hiyo unataka nikuombee uifunge Singida Big Stars, ili uongoze ligi! Hilo sahau aisee. Uzalendo ni kwenye mechi za kimataifa tu.Sawa sawa huu utaratibu wa kuombeana dua mbaya ndio tuliouzoea and we are okay with that
Hawa watu waliokuja na sera za kiuzalendo ni wakuwapuuza tu, watuache na utaratibu wetu
Game saa ngapi?
Mtu bora ununue jersey ya Azam kumuangalia kipre jr kuliko sako mchezaji hana akili kabisaWw pambana na kwanz na timu yako ya walamba lambalamba mjaze kwanza uwanja Simba ni kifaa kingine kaka yangu..hilo ni swala dogoo
Sie kwetu umerudi huu saa 12.Umeme wamekata, ukiona kimya jua charger imeniangusha na inaishia hapa ...