FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

FT: Singida Big Stars 1-1 Simba SC | Ligi Kuu Bara | Uwanja wa Estadio de Liti 09/11/2022

Ni kweli Singinda ni wazuri lauku kufungwa au kutanguliwa bao

Tungefungwa bao tukiwa katika high performance nisingeona tatizo hapo ni football imeamua

Ila kwa performance hii ya leo nashindwa kujua ni pengo la Chama, uwanja mbaya au ni kwasababu tumekaa siku nyingi bila kucheza mechi ili kuwa na fitness nzuri?
 
refa fanya juu chini ipatikane red ama penati
 
Carno anaonyeshwa Kadi ya Njano kwa kumchezea madhambi Kibu

Free Kick kuelekea Singida Big Stars
 
Hii pitch namashaka nayo

Nahisi kuna namna inatoa pasi na mfumo huu unajuliwa na wenyeji tu
 
No Chama no Party, pale kati Mdhamiru, Kanoute, Mkute wote wagonga nyundo hawana unyumbulifu.
 
Wameanza kulala kama Waarabu..Batambuzi yupo chini

Mchezo ni mkali kwa pande zote mbili
 
Back
Top Bottom