Kasiano Muyenzi
JF-Expert Member
- Feb 3, 2018
- 13,858
- 22,729
Mnyama π₯All the Best Mnyama Mkali sana.
#nguvumoja#...
Nilishtuka kuona π³Chonde chonde usikimbie baadae, baki hapa ushuhudie 'yasikitishayo 20:15 +'
Singida apigwe kipigo cha mbwa kokoMnyama π₯
Yaani wamejaa tele hapa na kwenye vibanda kwa viherehere vyao ππwengine washatolewa lakini awaishi kiherehere.
ππ€£πSingida apigwe kipigo cha mbwa koko
ππ€£πSingida apigwe kipigo cha mbwa koko
singida hii hii?Singida apigwe kipigo cha mbwa koko
Na atapigwa tu!ππ€£π
Najua huendi kulala hadi mechi iishe so acha kutoroka baki hapa hapa ushuhudie mashabiki bora na wastaarabu tunavyotiririka na comments za unyama mwingi πMida ya kulala hii Mkuu kesho nitakuja nikukumbushe
Bado dakika 5.singida hii hii?
Kiongozi Wa uto jamiiforums nipo hapa kazi mnayo Leoππ€£ππYaani wamejaa tele hapa na kwenye vibanda kwa viherehere vyao ππ
Baadae usikimbie hapa bwasheeNajua huendi kulala hadi mechi iishe so acha kutoroka baki hapa hapa ushuhudie mashabiki bora na wastaarabu tunavyotiririka na comments za unyama mwingi π
Anhaa! Kumbe umeshajuwa uto B wanapigwa.Mla ndege kajipanga kumla mpaka simba luwala.
Lijue hilo.
Yaani mm huyu nikimbie?Baadae usikimbie hapa bwashee
Leo watafungwa hawaNafasi ya pili kujiuliza wapi walikosea
Na bila shaka mechi ya leo navyoona itaisha bila kupata majibu, watakuja NBC tena kujiuliza
π€£ππYaani mm huyu nikimbie?
Nini cha kunikimbuza hapa?