kumbe ndo nimefahamu leo kwamba waweza ongeza nne,zikachezwa hata dk sabini cha muhimu zisipungue tuDakika za nyiongeza zinaweza kuongezeka lakini hazitakiwi kupungua. Anaweza kuongeza dakika nne ila zikachezwa dakika saba, hazipaswi kupungua hizo nne tu.
Km zimeongezwa dakika 6 halafu wachezaji wamejilaza wanapoteza Muda refarii unataka afanyeje km sio kuongeza dakikakumbe ndo nimefahamu leo kwamba waweza ongeza nne,zikachezwa hata dk sabini cha muhimu zisipungue tu
kwamba dakika za nyongeza nazo zina dakika za nyongeza pia koKm zimeongezwa dakika 6 halafu wachezaji wamejilaza wanapoteza Muda refarii unataka afanyeje km sio kuongeza dakika
Km umeongeza dakika mbili yaani mpira umalizike dakika ya 92 but kuanzia hiyo dakika ya 90 kufika dakika ya 92 wachezaji wamejilaza waki act wameumia ili kupoteza Muda,, ww km refarii utafanyeje?kwamba dakika za nyongeza nazo zina dakika za nyongeza pia ko
namaliza mpiraKm umeongeza dakika mbili yaani mpira umalizike dakika ya 92 but kuanzia hiyo dakika ya 90 kufika dakika ya 92 wachezaji wamejilaza waki act wameumia ili kupoteza Muda,, ww km refarii utafanyeje?
Kila mtu abaki na anacho kiamini, anayefurahi afurahie na anaeumia aendelee kuumia.Ule mpira haukuguswa. Kwa kuuangalia kawaida hzukuguswa, na hata marudi ya picha za video yanaonyesha hivyo.
Kikubwa ni kwamba hata kwa uangaliaji wa kawaida hata uwe mbali ule mpira hauna utata kwamba haukuguswa na mchezaji wa Singida
Kule Morocco kwenye mechi kati ya Simba Sc na Wydad AC, zilivyoongezwa dakika 6 Simba Sc alikuja kufungwa goli dakika ya ngapi?namaliza mpira
Kama hilo umelijua leo, bila shaka mpira umeanza kuufatilia kwenye mechi za mapinduzi.kumbe ndo nimefahamu leo kwamba waweza ongeza nne,zikachezwa hata dk sabini cha muhimu zisipungue tu
kumbe ndo nimefahamu leo kwamba waweza ongeza nne,zikachezwa hata dk sabini cha muhimu zisipungue tu
Ilifikia hatua mchezaji wa Singida anajilaza kaumia refa anaruhusu dkt aingie uwanjani, wachezaji wa singida wanampa ishara dkt asiingie na alipoingia wakamlaumu kwanini akingia uwanjaniKm umeongeza dakika mbili yaani mpira umalizike dakika ya 92 but kuanzia hiyo dakika ya 90 kufika dakika ya 92 wachezaji wamejilaza waki act wameumia ili kupoteza Muda,, ww km refarii utafanyeje?
Yule refarii wa zanzibar hakumaliza kwa sababu yeye sio wewenamaliza mpira
Utopolo mlivyovurugwa hadi mnadhani michuano hii imeandaliwa na TFF 🤣🤣🤣[emoji81][emoji81][emoji81] mkubwa pamoja na kuweka full mkoko ila bado ana pitia kitonga cha TFF
Huyu dogo sasa anafaa kabsa kuaminiwaMalamiko yanatosha uzuri yote jamejibiwa.
Sasa tujadili Kazi ya Hussein Kazi
hakumaliza kwa sababu yeye si yeye ila n mahaba kwa timu dhaifuYule refarii wa zanzibar hakumaliza kwa sababu yeye sio wewe
refa ndio alaumiwe alikuwa na mapungufu mengi kuliko hao singidaIlifikia hatua mchezaji wa Singida anajilaza kaumia refa anaruhusu dkt aingie uwanjani, wachezaji wa singida wanampa ishara dkt asiingie na alipoingia wakamlaumu kwanini akingia uwanjani
Wachezaji wa Singida wajilaumu wenyewe kwa utoto wao walikua na uwezo wa kumaliza game kwa style ileile waliyoanza nayo toka walipopata goli
Refa analeta siasa badala ya kumaliza mpira. Dakika sita za nyongeza goli linafungwa dakika ya 8 ya ngongeza.
Yanga tutawakula sana mpaka akili iwakae sawa....Mimi ninachoshangaa kumbe Tz tuna watu wengi sana wajinga hasa linapokuja suala la mpira... Yani mtu anashangaa kwa nini ile ilikuwa kona, wakati mchezaji wa Singida ali deflect ule mpira kabla ya kipa kuudaka nje ya mstari ndio maana ikawa kona.
Dakika za nyongeza hata zikiwa 2, refa anauwezo wakuchezesha mpaka dakika za ziada ikiwa tu kulikuwa na upotevu wa muda...
Mfano hii mechi ya juzi Inter vs Verona, dakika ziliongezwa 5 lakini mechi ilienda mpaka dakika 100.
View: https://youtu.be/GVZW1X6_p1Y