FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

FT: Singida FG 1 - 1 Simba (PNT: 2 - 3) | Mapinduzi Cup Semi Final | Amani Complex | 10.01.2024

SSC wana slow game
Na hawana ile fight game mguu kwa mguu

So ikikutana timu km Yanga inayokimbia dakika 90
Ni balaaa wanachoka na kupoteana ndio maana Yanga tunawafunga hawa mapema snaa

Wao ni slow game na wamezoeshana uvivu
Hata kwenye kukaba wanasindika

Mpira wa kukimbizana dakika 90 mbio mbio non stop hawwezi
 
Benchikha unafeli wapi. Baleke siyo mchezaji wa kucheza hii mechi. Unamuacha Chasambi au Mussa unamuweka Baleke. Hawa makocha sometimes sjui huwa wanawaza nini. Msukuma game ishamchanganya yule dogo Kazi ndo anatakiwa acheze na Che Malone.
Baleke yumbo ndani?
 
Back
Top Bottom