FT: Singida FGT 0-3 Yanga SC | NBC Premier League | CCM Kirumba | 14.4.2024

Tutawajoin mkipigwa na kudrooo dear Utochura....like we did for Masandawane...
Hawa jamaa wakiijia Derby kama wanavyojiamini sasa!
Tutawashangaza πŸ€—
Tunza hii risit
 
Mrudisheni kipa wa watu. 😁😁😁
Nimecheka sana
Kakolanya huwa ni snitch kitambo TU Wala si hatuna shida ya ku deal nae kwanza tungependa awe golini Haule huwa mtata sana akiwa golini
 
Kakolanya huwa ni snitch kitambo TU Wala si hatuna shida ya ku deal nae kwanza tungependa awe golini Haule huwa mtata sana akiwa golini
Dah!
Ila ana mambo ya kitoto sana basi.
 
Nipo nao hadi wapate suluhu
Suluhu ni ndoto kwa hii game japo ngumu ila tutapata goli 2 ili ku cement gape na Ubuntu botho ili tukipata na kwake 3 na Azam akamkanda basi gape ni 12 =4 games tunaweza tangaza ubingwa mapema
NB:tunaomba Benchika asiondoke
 
Uto wamekoswa koswa hapa.
Namna gani bana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…