Sinkala
JF-Expert Member
- Dec 22, 2008
- 1,773
- 688
Unaongea utadhani timu yako inaijua Klabu Bingwa kuliko Simba. Ulitaka tuende na Mzinze?Hivi mnadhania Nusu fainal ya Caf ni ndondo cup eeh?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unaongea utadhani timu yako inaijua Klabu Bingwa kuliko Simba. Ulitaka tuende na Mzinze?Hivi mnadhania Nusu fainal ya Caf ni ndondo cup eeh?
yaan jamaa hawajiamini kabisaSimba ni timu ndogo, mentality ya timu ndogo huwa ni kupoteza muda baada ya kupata goli
kwa timu ipi hii wanao jilaza laza hapaYanga itafika zamu yenu,msihangaike kupiga chabo mwenzetu anavyozagamuliwa
yanga wanae hata wa levo za bocco tu? bocco anatumiwa kimkakati hasa kwa viwanja vya mikoani, tuliza mhehoEti John Bocco ndio mshambuliaji tegemezi pale Simba na ndio wanamtegemea awapeleke semi final cafcl[emoji23][emoji23]
Hivi mnadhania Nusu fainal ya Caf ni ndondo cup eeh?
Kazingua sanaHuyu bocco mjinga nn
ungeijua club bingwa usinge kuwa unaishia makundi ukijitahidi roboUnaongea utadhani timu yako inaijua Klabu Bingwa kuliko Simba. Ulitaka tuende na Mzinze?
Sio kwamba hawajiamini, intensity ya mech ni kubwa kuliko fitness ya wachezaji. Kuna kundi kubwa la wachezaji watashindwa kwenda na kasi ya mechi.yaan jamaa hawajiamini kabisa
Wanatakiwa wajiamini kama sisi Ihefu, tuliongoza mawili na hatukupoteza muda, tuliendelea kuipelekea moto Yanga mpaka mwamuzi anamaliza mchezoyaan jamaa hawajiamini kabisa
Kama mentality ya timu kubwa siyo kupoteza mda mlisubiri nini hadi ihefu anawatungua mawili,wenzenu wanasoma mchezo nye mnakimbia kimbia eti hatupotezi mdaSimba ni timu ndogo, mentality ya timu ndogo huwa ni kupoteza muda baada ya kupata goli
Mshambuliaji wa kutegemewa simba ana goli 5 kwa mechi tatu sio BoccoEti John Bocco ndio mshambuliaji tegemezi pale Simba na ndio wanamtegemea awapeleke semi final cafcl[emoji23][emoji23]
Hivi mnadhania Nusu fainal ya Caf ni ndondo cup eeh?
Bado haujasema, mpaka useme 😀kwa timu ipi hii wanao jilaza laza hapa
Sasa Mkuu Gomes kweli akabane na Ngouma?! wapi na wapiiHuyo Gomes anafanya nini uwanjani maana anakimbia kimbia tu hasaidii team
Mnaichukua ikiwa wapiHawa wazee wa Simba tayari wamechoka wamebaki kujilaza kupoteza muda, Sec half tunaichukua hii game.. Come on Singida FG hii game yakwenu kabisaa
Wamezidiwa uwezohawa mabeki wa singida kama wame beti vile