FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

FT: Singida Fountain Gate 1 - 2 Simba SC | NBC Premier League | CCM Liti Singida | Oktoba 8, 2023

Eti John Bocco ndio mshambuliaji tegemezi pale Simba na ndio wanamtegemea awapeleke semi final cafcl[emoji23][emoji23]
Hivi mnadhania Nusu fainal ya Caf ni ndondo cup eeh?
yanga wanae hata wa levo za bocco tu? bocco anatumiwa kimkakati hasa kwa viwanja vya mikoani, tuliza mheho
 
yaan jamaa hawajiamini kabisa
Sio kwamba hawajiamini, intensity ya mech ni kubwa kuliko fitness ya wachezaji. Kuna kundi kubwa la wachezaji watashindwa kwenda na kasi ya mechi.
Aliye fit kwa dk 90 ana nafasi kubwa ya kushinda kama mechi itaendelea kwa spidi ya kipindi cja kwanza.
 
Pale mbele bocco afanyiwe sub, second half tutarajie over 1.5 🤣 ila tu singida wasipobadilika, wakibadilika alafu tukabaki na bocco game ipo open kwa suluhu
 
Simba ni timu ndogo, mentality ya timu ndogo huwa ni kupoteza muda baada ya kupata goli
Kama mentality ya timu kubwa siyo kupoteza mda mlisubiri nini hadi ihefu anawatungua mawili,wenzenu wanasoma mchezo nye mnakimbia kimbia eti hatupotezi mda
 
Eti John Bocco ndio mshambuliaji tegemezi pale Simba na ndio wanamtegemea awapeleke semi final cafcl[emoji23][emoji23]
Hivi mnadhania Nusu fainal ya Caf ni ndondo cup eeh?
Mshambuliaji wa kutegemewa simba ana goli 5 kwa mechi tatu sio Bocco
 
Hawa wazee wa Simba tayari wamechoka wamebaki kujilaza kupoteza muda, Sec half tunaichukua hii game.. Come on Singida FG hii game yakwenu kabisaa
 
Back
Top Bottom