FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Kipindi cha pili mechi itakuwa poa,na refa atakuwa tofauti kabisa maana tayari ameshakamilisha kazi yake,first half the do's kwa Simba ni don't kwa Tabora......sekandi hafu atakuwa refa mwingine kabisa
Shekhe Yahaya
 
Dk 49
0-2
Ziliongezwa dk 3 ila sasa ni ya 4
 
Kamdomo kamewaponza,wanafikiri simba inafunguka ovyo ovyo kama Chikundi FC
 
SIKU YA MECHI KALI.

View attachment 3222089

MCHEZO:
Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League
Mwenyeji : Tabora United
Mgeni : Simba Sc
Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora
Muda : Saa 10 Jioni.

VIKOSI VYA LEO
View attachment 3222322
View attachment 3222323

Game On
3' Tabora 0-0 Simba

6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki

12' Atebaaaaaaaaa.
anaipatia Simba goli la kuongoza.
Chuma cha kwanza.
0-1

33' Simba wanapata penalty.
Anaipiga Ateba....
Goooooooooooal
Simba wanapata goli la pili.
0-2
Huyu Tabora si ndio yule mbabe wa yanga?😂
 
Kipindi cha pili mechi itakuwa poa,na refa atakuwa tofauti kabisa maana tayari ameshakamilisha kazi yake,first half the do's kwa Simba ni don't kwa Tabora......sekandi hafu atakuwa refa mwingine kabisa
Simba imecheza vizuri mno ikapata Goli safi na halali kupitia Ateba. Goli lenye utata ni goli la penati, zaidi ya hapo hakuna utata wowote wa kumlalamikia refa.
 
Back
Top Bottom