FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Mpira wetu tunatamani usogee lakini haiwezekani ukasogea kwa namna waamuzi wanavyofanya viwanjani
 
Makolo bila refa hamna timu, na derby watakaa, yaani no contact refa kafunika penati , rafu kabla ya kupokea mpira refa kapeta Ateba akafunga, beki kacheza mpira refa kafunika faulo sehemu ya hatari, Tabora wakiondoka mshika kibendera Fatma alichoambiwa ni kuinua shuka juu tu, hii ni aibu kubwa, hawa marefa wataishia NBC premier league tu!!

Mlungula wa refa uko laivu Ally Hassan Mwinyi , mbeleko FC ni aibu kwa soka letu!!

Yacouba na Makambo injini za Tabora United msimu huu leo wamewekwa jukwaani, kweli simba bingwa wa mechi za nje ya uwanja! Ila ni mbio za sakafuni tu, Yanga bingwa tu!

Kisa Yanga kuongoza ligi, simba lazima ibebwe kila mechi ila tarehe 8 tutawakanda na kukaa kileleni bila bugudha. Yanga ina intensity hatari mnyama lazima akae kibla achinjwe!
 
Simba ni mkombozi wa wanyonge maana leo anaokoa takribani 50m fedha za wanyonge ambazo zingeingia mikononi mwa watu wachache zilizohaidiwa na mkuu wa mkoa
Tunatoa maelekezo hizo fedha zielekezwe kwenye ujenzi wa jengo la mama na mtoto kwenye zahanati yoyote hapo Tabora
 
Back
Top Bottom