FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Ugonjwa mkubwa wa Simba kuwahi kurodhika. Goli mbili wanataka waanze show up. Utadhani hawakuwaona Singida Black Stars. Mavi yao
 
Ugonjwa mkubwa wa Simba ni kuwahi kuridhika. Goli mbili wanataka waanze show up. Utadhani hawakuwaona wenzao Singida Black Stars.😙
 
Kipindi cha pili mechi itakuwa poa,na refa atakuwa tofauti kabisa maana tayari ameshakamilisha kazi yake,first half the do's kwa Simba ni don't kwa Tabora......sekandi hafu atakuwa refa mwingine kabisa
 
Back
Top Bottom