FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Kipindi cha pili mechi itakuwa poa,na refa atakuwa tofauti kabisa maana tayari ameshakamilisha kazi yake,first half the do's kwa Simba ni don't kwa Tabora......sekandi hafu atakuwa refa mwingine kabisa
Shekhe Yahaya
 
Dk 49
0-2
Ziliongezwa dk 3 ila sasa ni ya 4
 
Kamdomo kamewaponza,wanafikiri simba inafunguka ovyo ovyo kama Chikundi FC
 
Huyu Tabora si ndio yule mbabe wa yanga?😂
 
Kipindi cha pili mechi itakuwa poa,na refa atakuwa tofauti kabisa maana tayari ameshakamilisha kazi yake,first half the do's kwa Simba ni don't kwa Tabora......sekandi hafu atakuwa refa mwingine kabisa
Simba imecheza vizuri mno ikapata Goli safi na halali kupitia Ateba. Goli lenye utata ni goli la penati, zaidi ya hapo hakuna utata wowote wa kumlalamikia refa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…