FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

watoto: in short KOKI HAICHEZEWI 😅😅😂😂 🐻 bare in MIND.
 
Unaumia kutokea wapi mkuu?
 
Hongera Sana Simba
 
nimekwambia tangu dk za awali hakuna refa hapa kuna upumbavu tu umejionea mwenyewe
Kwa sasa hivi Kila timu ishinde mechi zake kivyovyote vile iwe kwa kubebwa ama kivingine,,kikubwa wengine pia wakifanya ivyo tufunge mabakuri ni undava undava yanga nadhani mnaona msicheke na nyani pigeni mbwa yeyote iwe kwa magoli ya aina yoyote ata kwa mkono refa aite kati,,
 
Simba imecheza vizuri mno ikapata Goli safi na halali kupitia Ateba. Goli lenye utata ni goli la penati, zaidi ya hapo hakuna utata wowote wa kumlalamikia refa.
Penalty ina utata gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…