FT| Tabora United FC 0-3 Simba SC | NBC Premier League | Ali Hassan Mwinyi Stadium | 02-02-2025

Kuna relaxation Simba wameingia nayo hiki kipindi cha pili. Ni kama wamewaona ni timu ya kawaida. Kuna wakati benchi la ufundi letu linajisahau pia.
Hiyo ni mbinu ambayo Fadlu anaifanya, zile dk 10 hadi 15 baada ya break huwa anawaambia wachezaji wapooze mpira hasa akiwa anaongoza kwani anajua mpinzani atakuja kwa kasi second half

Hivyo anaiweka team kwenye slow motion and defensive mode kwa muda mchache.
 
Kwa bahati nzuri sana mimi pia ninamshangilia yeyote anayemfunga KoΕ‚o πŸ˜€

Sijui kuhusu BL eti Bantu Lady unasemaje dada.
 
Mavambo Fernandez na Joshua Mutale in
Ngoma and Mpanzu out
Dk 72
0-3
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…