OKW BOBAN SUNZU
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 53,868
- 121,001
Mkuu punguza kulalamika. Toka mpira unaanza wewe ni kulaumu tu.Mutale na Mukwala hawa wapewe thank you kubwa kabisa. Hawatufai katika safari yetu ya kujenga timu. Wanacheza kwa kuiumiza timu. Hawako sharp serious uwanjani.
M Hussein out Valentino In
Ateba out Mukwala in
Dk 79
0-2
Dk 89'What?
Kazingua sana leo. Utadhani kamekunywa ulanzi vileAhoua angekuwa vizuri tungeshinda nyingi zaidi.
Kwa huu ushindi wa simba ngoja na mimi nipate kidogo😆🦖🦕 Mkuu nipo sebuleni kwangu nipo alone,
Nacheki mechi alone , kuhusu vinywaji changamshi nilikunywa saa Saba mchana now nipo na kichwa plain kabisa..
Simba 🦁 🦁 🦁 ni rahaa sanaa
Minjingu Jingu ashughulikiwe ipasavyoDk 5 zimeongezwa.
Bado hatujapata mbadala wa Chama. Ahoua ana makosa makosa mengi mno.
Jana kulikuwa na penati ngapiNilijua tu huyu refa leo lazima atupatie penalty mandunduka
Kama hujui kuripoti ni bora ukamezea.SIKU YA MECHI KALI.
View attachment 3222089
MCHEZO: Ligi Kuu Tz Bara NBC Premier League
Mwenyeji : Tabora United
Mgeni : Simba Sc
Uwanja : Ali Hassan Mwinyi, Tabora
Muda : Saa 10 Jioni.
VIKOSI VYA LEO
View attachment 3222322
View attachment 3222323
Game On
3' Tabora 0-0 Simba
6' Simba wanapata kona, inapigwa kona na Kibu, haileti madhara yoyote kwa nyuki
12' Atebaaaaaaaaa.
anaipatia Simba goli la kuongoza.
Chuma cha kwanza.
0-1
33' Simba wanapata penalty.
Anaipiga Ateba....
Goooooooooooal
Simba wanapata goli la pili.
0-2
66' Goooooooooooal la pili kwa Simba.
0-3
Kapombe anapata assist toka kwa Ateba.
Anatupia
sasa yanga aumie vp ikiwa anajua una alama zake 3Dah.. Utopolo wamaumia kupindukia. Sasa hivi kuna topolo mmoja hapa jirani anafoka na anatukana watoto na kuwafukuza waende kulala .. hii saa 17.54
Tatu. Chadomo kakosa mojaJana kulikuwa na penati ngapi
Namba aliyokuwa anacheza Chama bado haijapata mtu wa kuitendea haki.Mbadala? Ili iweje?
Hatumuhitaji Chama Wala Mbadala..
Hapa ushindi teyari bado clean sheet..!
Confidence yake badoMukwala nae bwege tu