FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Dakika 8 mchezaji wa DR Congo anamcheza rafu mbaya mbwana samata
 
Congo wanakamia Goli wanapata hata Faulo za kulazimisha hawa jamaa wa kwetu wakishika mpira wanapiga backpass tu mwanzo mwisho
 
Himidi mao anafanya Madhambi hapa dakika ya 9 😂 kasababisha fouls
 
Kwamba washinde kiujanja ujanja sio
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…