OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,569
- 24,812
Game ngap ngap wakuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mimi ngoja niongezeeCongo 2 - Taifa Stars 1, ukweli mchungu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji28]Ulimsikia CDF lakini[emoji1787]
Anshinda njaa labdaGame ya Leo ukibet unabutua wazi wazi, ngoja nimpe ba tamu hela yangu anibettie.
Siwezi kosa mapenee, lazima muhindi nimfilisi.
Congo anashinda.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan shda nn? Mda c bado? Ntakurudia.Anshinda njaa labda
😅😅😅Utanikuta[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kwan shda nn? Mda c bado? Ntakurudia.
Na ushind wenyewe mpaka ihonge marefakitu pekee Chenyee uhakika wa ushindi kwa Tanzania n
CCM
Haya mengine usipasue kichwa yakooo
🤣🤣🤣🤣Mpira una matokeo katli sana.
Congo anakufa BAO 2-1.
Mtashangaa.
Ngoja tuone baadae1 manula
2 lusajo
3 m.hussein
4 mzee wa mashuka
5 mwamnyeto
6 novatus
7 msuva
8 mudathir
9 samatta(huyu basi tu ila)
10 morice
11 kibu D fighter😁😁😁
Lengo hasa ni hapo kwenye 6 na 8 tupate watu wanao idea ya kupeleka mpira mbele
Inonga baka utakua mtihani mno ila ngoja tuone