FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

FT: Tanzania 0 - 0 DR congo | AFCON 2024 | Amadou Gon Coulibaly | 24 .01 .2024

Tanzania igeni mfano wa comeback aliyoifanya Mauritania [emoji1163] dhidi ya Algeria [emoji1026].

Wazelendo liombeeni taifa lenu.

Nalog out.
 
Kuna timu siyo za kuziwekea dhamana mfano mmojawapo ni Ghana na Tanzania. Ghana juzi alikuwa anaongoza lakini sikutaka hata kucheki mpira wao nilijua watazingua tu, nikasema niwaangalie Misri maana ni watu wanaojitambua. Sikujutia uamuzi wangu, wote mliona kwa mafarao haiishi mpaka iishe.

Hivi wachezaji wa Tanzania wanajisikiaje wakiangalia wenzao wanavyopambania nchi zao? Kuzidiwa uzoefu au kipaji siyo inshu, onyesha kweli unautaka ushindi tutakuelewa hata ukibamizwa za kutosha. Kwenye mpira juhudi ni jambo la wazi halifichiki.
 
1 manula
2 lusajo
3 m.hussein
4 mzee wa mashuka
5 mwamnyeto
6 novatus
7 msuva
8 mudathir
9 samatta(huyu basi tu ila)
10 morice
11 kibu D fighter😁😁😁

Lengo hasa ni hapo kwenye 6 na 8 tupate watu wanao idea ya kupeleka mpira mbele

Inonga baka utakua mtihani mno ila ngoja tuone
 
1 manula
2 lusajo
3 m.hussein
4 mzee wa mashuka
5 mwamnyeto
6 novatus
7 msuva
8 mudathir
9 samatta(huyu basi tu ila)
10 morice
11 kibu D fighter😁😁😁

Lengo hasa ni hapo kwenye 6 na 8 tupate watu wanao idea ya kupeleka mpira mbele

Inonga baka utakua mtihani mno ila ngoja tuone
Ngoja tuone baadae
 
Let say Stars inashinda Leo, je kuna nafasi ya kusonga mbele? Na kama tukisonga mbele tutamtoa nani.

Kwangu Bora DRC aende akawabane waarabu wazee wakulalamika na kujiangusha. Wanabishana hadi VAR ukiwa maamuzi yanawabana wao.

Natabiri miaka kumi mbele waraabu wanaweza ishia hatuna za makundi tu, maana uamuzi utakuwa fair sana.
 
Back
Top Bottom