Tanzania ikifanya sub nzuri bado tunaweza kubadilisha matokeoSasa mtu mnalaumu kocha
Timu nzima mchezaji ni samaatta na Novatus dismas
Wengine woote hamna kitu
Morocco wana mtu anaanza PSG, wana mtuu anaanza Sevilla, wana mtu anakuwa kwenye rotation man united
Wana mtu anaanza bayer munich
Mnataka nini watanzania
Kwangu mimi wakifungwa chini ya 2 goals wamejitahidi
Mnataka mchange history na nan? Haji mnoga?[emoji23][emoji23][emoji23] acheni utani waheshimuni morocco
Toa shabalala,mao,ingiza kibu, Feisal..achana na beki Tano nyumaHalf time Ingiza Kibu Denis na yule mpemba WA ugali na ndimu.
Diarra Ni Mwamba,ila Manula kajitahidi maana wanaocheza Ni Morocco na mabeki na kipa wa stars....Hao wengine wanazurura tu uwanjani.Huwa siangalii mipira ya Simba ila baada ya kumuona Manula leo nimejua Manula na Diarra ni mbingu na ardhi 🙌
Vizuri kwenye kukimbia kimbia au?
Angalia possesion..Vizuri kwenye kukimbia kimbia au?
Kwani mpira umeisha mkuu?😀 subiri dk 90Amka sasa kumekucha
Tengeneza kanisalako nikupeeunabiiii tupige helaaaht
🇲🇦 vs 🇹🇿
🇲Cs 1-0/0-0
3.00
Bro unafikiri tutatoboa?
Hao nao washamuona wa maana..wkt kule kwao kikosi kizima kinacheza nchi zinazojielewa...mabeki visiki...hapo wamemweka Mwanyeto....Kwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.
Huyo Diarra ndani ya kikosi chake cha Taifa kuna watu wa maana.
Mbna akiwa Yanga anafungwa, km kweli yeye ni mkalii hivyoo?
Sub si tatizo hap tungekua realistic tu kuna watu wakitufunga hakuna kulalamikaTanzania ikifanya sub nzuri bado tunaweza kubadilisha matokeo
Kocha awe makini kwenye Substitution tu...Kibu Denis aingie, Dickson Job aingie
Sent from my SM-A235F using JamiiForums mobile app
Kibu!?? Acha ujingaToa shabalala,mao,ingiza kibu, Feisal..achana na beki Tano nyuma
Himid mao ajiangalie sanaKwa nani?
sawa haina shida mi nimekuamsha tu ulikuwa unasinziaKwani mpira umeisha mkuu?😀 subiri dk 90
Ile faul ongekuwa Diarra angeificha! Haikuwa kick ya kuitema tuongee ukweli cha kushangaza yeye kaitema! 🙌Kwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.
Huyo Diarra ndani ya kikosi chake cha Taifa kuna watu wa maana.
Mbna akiwa Yanga anafungwa, km kweli yeye ni mkalii hivyoo?
Alikua ana athari gani zaidi ya kukaba wenzie?Mzungu ametokaaaaa tunafungwa mengine mawili nikopalee kwa massaweee wakala
HahahahaaaAlikua ana athari gani zaidi ya kukaba wenzie?
Mipira mirefu mara nyingi ni kwaajili ya kuruka phase ya build up moja kwa moja kwenda kushambulia sasa kama mipira mirefu ndo inatakiwa haina haja ya viungoHadi HT hatujacheza vibaya, isipokuwa wachezaji wa Stars hawajatulia na wanapoteza sana mpira...
Kwa mtazamo wangu kipindi cha pili kocha ajaze viungo zaidi, na tucheze mipira mirefu tu...
Ndo maana nasema kocha abadilike maana hatufanyi kitu mbeleWachezaji wanacheza hivyo kwa sababu ya formation ya kocha. Hapo ni kocha mbovu na formation mbovu.
Kibu ndiyo, work rate superb,atapress kule mbele Morocco hawatokua comfortableKibu!?? Acha ujinga
Ile haikuwa freekick ya kutema, tuongee ukweliDiarra Ni Mwamba,ila Manula kajitahidi maana wanaocheza Ni Morocco na mabeki na kipa wa stars....Hao wengine wanazurura tu uwanjani.