Azarel
JF-Expert Member
- Aug 25, 2016
- 28,916
- 40,479
Tanzania ikifanya sub nzuri bado tunaweza kubadilisha matokeoSasa mtu mnalaumu kocha
Timu nzima mchezaji ni samaatta na Novatus dismas
Wengine woote hamna kitu
Morocco wana mtu anaanza PSG, wana mtuu anaanza Sevilla, wana mtu anakuwa kwenye rotation man united
Wana mtu anaanza bayer munich
Mnataka nini watanzania
Kwangu mimi wakifungwa chini ya 2 goals wamejitahidi
Mnataka mchange history na nan? Haji mnoga?[emoji23][emoji23][emoji23] acheni utani waheshimuni morocco
Kocha awe makini kwenye Substitution tu...Kibu Denis aingie, Dickson Job aingie na Fei Toto aingie