FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Sasa mtu mnalaumu kocha

Timu nzima mchezaji ni samaatta na Novatus dismas

Wengine woote hamna kitu

Morocco wana mtu anaanza PSG, wana mtuu anaanza Sevilla, wana mtu anakuwa kwenye rotation man united
Wana mtu anaanza bayer munich

Mnataka nini watanzania

Kwangu mimi wakifungwa chini ya 2 goals wamejitahidi

Mnataka mchange history na nan? Haji mnoga?[emoji23][emoji23][emoji23] acheni utani waheshimuni morocco
Tanzania ikifanya sub nzuri bado tunaweza kubadilisha matokeo

Kocha awe makini kwenye Substitution tu...Kibu Denis aingie, Dickson Job aingie na Fei Toto aingie
 
Huwa siangalii mipira ya Simba ila baada ya kumuona Manula leo nimejua Manula na Diarra ni mbingu na ardhi 🙌
Diarra Ni Mwamba,ila Manula kajitahidi maana wanaocheza Ni Morocco na mabeki na kipa wa stars....Hao wengine wanazurura tu uwanjani.
 
Bro unafikiri tutatoboa?

Hadi HT hatujacheza vibaya, isipokuwa wachezaji wa Stars hawajatulia na wanapoteza sana mpira...

Kwa mtazamo wangu kipindi cha pili kocha ajaze viungo zaidi, na tucheze mipira mirefu tu...
 
Kwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.

Huyo Diarra ndani ya kikosi chake cha Taifa kuna watu wa maana.

Mbna akiwa Yanga anafungwa, km kweli yeye ni mkalii hivyoo?
Hao nao washamuona wa maana..wkt kule kwao kikosi kizima kinacheza nchi zinazojielewa...mabeki visiki...hapo wamemweka Mwanyeto....
 
Kwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.

Huyo Diarra ndani ya kikosi chake cha Taifa kuna watu wa maana.

Mbna akiwa Yanga anafungwa, km kweli yeye ni mkalii hivyoo?
Ile faul ongekuwa Diarra angeificha! Haikuwa kick ya kuitema tuongee ukweli cha kushangaza yeye kaitema! 🙌
 
Hadi HT hatujacheza vibaya, isipokuwa wachezaji wa Stars hawajatulia na wanapoteza sana mpira...

Kwa mtazamo wangu kipindi cha pili kocha ajaze viungo zaidi, na tucheze mipira mirefu tu...
Mipira mirefu mara nyingi ni kwaajili ya kuruka phase ya build up moja kwa moja kwenda kushambulia sasa kama mipira mirefu ndo inatakiwa haina haja ya viungo

Ajaze washambuliaji😂😂
 
Back
Top Bottom