Hapa kwangu mimi tatizo linakuja kwamba timu haina straika

Sisi kama watanzania tunakosa watu wabunifu pale mbele

Angalia pacome,chama,aziz ki, yule jamaa anachomekeaga yule wote ni 10 esque players wanaovuma nchini

Watu hatuna 9 mwenye nguvu
Hatuna namba 10 wenye ubunifu
Timu imejaa wakata umeme na mabeki kibao ambao hawatumii akili kubwa
Mwisho wa siku tunajitahidi kulinda ila kushambulia hamna kitu

Na bila magoli hamna ushindi
 
Kidogo pana kauhai baada ya Mourice kuingia.
 
Wewe ni mpumbavu Sana misri alinusurika chupuchupu licha ya kucheza na msumbiji ambae Nina uhakika hujui hata mchezaji wake mmoja.


Mapumbavu kama wewe ndio mzigo Kwa taifa hili
 
Kipindi Cha pili ..hawa tunawakanda......Dua zenu tu
 
Morocco apige cha pili watu tumalizane na mhindi. Kimasiala tu unashangaa yanatokea mambo ya algeria na egypt.
 
Tanzania ikifanya sub nzuri bado tunaweza kubadilisha matokeo

Kocha awe makini kwenye Substitution tu...Kibu Denis aingie, Dickson Job aingie na Fei Toto aingie
Kweli aisee la sivyo tutayaoga
 
niilivyooona list nkasema mbele kunamabomu ya machozi hakuna jipya
Mmh yajayoo yanafurahisha
 
Jinsi TANESCO walivyokata umeme na Jinsi Taifa Stars inavyotembezewa kipigo nafarijika sana. Tanesco kamatieni hapo hapo hadi game iishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…