Unajua kama Kipa yeye anaona vizuri mpango wa mabeki.

Naona hana juhudi kabisa za kuwapanga mabeki
Hao mabeki hawapangikiiii, [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kina bacca na mwamnyetoo wanapigishwa Mark time tyuuh. Lol
 
Huu mchezo wa mpira naupenda hapa tuu. Mpira ukishahamia mdomoni na sio mguuni hamna kitu. Wacha wenye kujua boli wafanye kweli
Kadi nyekundu ndio imeloga kila kitu ikewatoa mchezoni
 
Mipira mirefu mara nyingi ni kwaajili ya kuruka phase ya build up moja kwa moja kwenda kushambulia sasa kama mipira mirefu ndo inatakiwa haina haja ya viungo

Ajaze washambuliaji😂😂

Viungo wengi ni wakati wa kukaba...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…