FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Kadi nyekundu ndio imeharibu kila kitu km umefuatilia mchezo kadi nyekundu imezaa Goli 2 zile
Kadi nyekundu kwa Himid Mao Refa kaachia tyuuh, ila ilitakiwa 1St half awe ashakula umeme.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
tulishapigwa 2 hakuna uwezekano zaidi tungejilipua toaa nova save redkad weka kibu tujilipuee
 
LAANA YA WALE VIJANA HAITAWAACHA TFF NA WENZIO HUKOO IVORYCOAST

NILISEM A NANARUDIA KUSEMA VIJANA WAMETESEKA WAMEHANGAIKA KUIFIKISHA STARS HAPO ILIPO MNAENDA KULETA WAHHUNI WA BOLIZOZO

MUNGU ANGALIE HAI HATA MECHI IJAYO
MNAPIGWA 3

INAYOFWATA 3

NKKOHAPA

LEO NILIWEKA THREADS KABISA WEKA MOROCO WIN NA GOLI TATU

NA MECHI IJAYO NAWAFWATA HIVIHIVI NA MUNGU ALIE HAI AKAWANYOOSHE

MMETIA AIBU
Nakuunga mkono mkuu ulisema
 
Kwanin aligoma kwenda kujiridhisha VAR
Jamani var sio kwa kila tukio...wamesema var ni kwa atraight red cards. So either pale refa anatoa staright red ambayo sio sahihi au anatoa kadi ya njani kwa foul ambayo inastahili kadi nyekundu
 
Asante sana
Ccm imefungwa, watched kuchanganya mpira na siasa
hakuna siasa wala nini kiufupi hatuna vipaji vikubwa mbili hatuna wachezaji wenye makuzi mazuri ya kisoka mfano kama haji mnoga ni mchezaji hana kipaji kikubwa ila anaonekana ni mtu ambaye ana makuzi bora ya kisoka mcheki haji akienda kukaba ata kama atatumia Nguvu ila anahakisha hawezi kufanya hatari itakayopelekea Red card Cheki Novatus anacheza faulo bila hata tahadhari hawazi kama kuna kadi nyekundu wala njano
 
Me kuna kitu nimekiona sijui itakuwa sawa na ninyi wakuu?. Sisi wat weusi hatuthamin watu wetu tunathamin sana watu weupe au mtu aitwae tu mzungu au mwenye asili ya uzungu basi mtu mweusi yupo tayar kutomthamin mweusi mwenzie kwa sababu tu ya watu wa nje. Tz tuna wachezaj wetu wengi wenye uwezo mkubwa kuliko hata ao tunaowasikia wanacheza cjui uingereza cjui india lakn ajabu ni kuwa wamepewa nafasi kubwa lakini tumeshuhudia uwezo wao ulivo wa kawaida. Kuna watu kama sospeter bajana, kibu, feitoto na msuva walistail kucheza kwenye kikos cha kwanza kabisa lakn sijui sababu zisizo na maana cjui experience na uzoef wakat Kocha alisema hatujaenda kushindana.
 
Uwezo wa kocha ni Mdogo sana .

1. Unacheza na Morocco unaweka backline 3 na midfield 4 ????

2. Mchezaji ana kadi na anafanya faulo Mara kwa Mara anashindwa kumtoa mapema kwa tahadhari?

3.Wachezaji wa nje hawana msaada wowote kwa timu wamejaza nafasi za bure.
Hata mim nimemshangaa sana kocha
 
Back
Top Bottom