FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Mnalalamika ina mlitegemea Taifa Stars kushinda?
Mi nili bet kabisa tunafungwa
 
Uwezo wa kocha ni Mdogo sana .

1. Unacheza na Morocco unaweka backline 3 na midfield 4 ????

2. Mchezaji ana kadi na anafanya faulo Mara kwa Mara anashindwa kumtoa mapema kwa tahadhari?

3.Wachezaji wa nje hawana msaada wowote kwa timu wamejaza nafasi za bure.
Mbona backline ilikuwa wanne jamani midfield watano.
 
IMG_5758.jpg


Kutoka kwa Wadau
 
Huyo kwa leo namtetea ila siku ile ya mechi na Uto alikua anaona matufe sio mpira huu...yani pale palikua pamegeuka kilingeni... [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wtz bana 😅😅 kwahiyo mlikuwa mnasubiri morocco wafungwe?
 
Back
Top Bottom