Mnalalamika ina mlitegemea Taifa Stars kushinda?
Mi nili bet kabisa tunafungwa
 
Mbona backline ilikuwa wanne jamani midfield watano.
 
Huyo kwa leo namtetea ila siku ile ya mechi na Uto alikua anaona matufe sio mpira huu...yani pale palikua pamegeuka kilingeni... [emoji23] [emoji23] [emoji23]

[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Wtz bana πŸ˜…πŸ˜… kwahiyo mlikuwa mnasubiri morocco wafungwe?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…