Kwahiyo Tanzania ilikuwa inachuana na kipa aliyepangua vichwa vyote vya kina Cr7
Yenyewe ikiwa na golikipa pazia kabisa la taifa Manula!

Na watu walikuwa wanasubiri kabisa Clean sheet kutoka kwa Taifa Stars
 
Tutapigwa Sana
Hatuna Team Tumepeleka Chawa Wa CCM Kunguni
 
Hawa kamati ya uhamasishaji mwisho wao ilikuwa kwenye harambee au walienda cote d’ ivoire ?
Maana uwanjani hakuonekana mtu yoyote mwenye dalili za kushangilia timu.
 
Imefungwa Taifa sters haibu nimeona mimi.
Kwakweli hatuna timu, sio ya kushinda tu, hata ya kushiriki hatuna.

Tangu michuano ianze hakuna timu mbovu nilioiona kama Taifa sters, "mungu wangu".

Timu nzima ni mbovu lakini Manula amezidi, goli la kwanza ni wazi tumefungwa kutokana na wenge lake.

Nashauri watanzania wenzangu tutafute mchezo mwengine lakini sio soccer.
Sisi wakuzidiwa na Moçambique bhanaaah!!!!
 
tumewekaza sana kwenye propaganda za vyombo vya habari lakini kweny uhalisia hatuna lolote kwa kweli.Tanesco wapuzi,timu ya taifa wapuzi, mwendokasi wapuzi.
 
Huyu Tchato amenikumbusha yule non sense Tchato wa zama zile za akina Mboma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…