Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 76,039
- 230,142
Kwamba taifa stars ilijiandaa vema kumfunga Morocco!Ni kweli moroco ni timu bora lakini tumeona timu nyingine bora kwenye maahindano haya zikiambulia sare au kufungwa . Kila timu imejiandaa vyema