FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Angefanyaje Mkuu? Kapotea maboya akajirekebisha kumbe kamwagia ndani.
Hapo nilikuwa nampa kongole kwenye ile attempt ya kuokoa mpira ambao ulikuwa unaenda nje na kusababisha kona kwenye lango letu

Haikuhusiana na goli alilofungwa kwasababu hata mimi sioni nafasi ya kumlaumu kwenye hili goli
 
Mpaka dk 20 hatuja pasuka kweli tunatimu Bora, mwarabu akifanya mchezo tunampasua... possession hiyoo inanipa Amani.
[emoji23][emoji23][emoji23] possession back pass ndani ya kumi na nane, possession isiyo songa mbele
 
Back
Top Bottom