DR Mambo Jambo
JF-Expert Member
- May 10, 2012
- 11,622
- 26,005
We huangaliii mpira mkuu unasimuliwa mpira..Hakuna sehemu bwana waliocheza vizuri. Ni wanapuyanga pira mbayuwayu
Nakushauri kwenye marudio.angalia Dakika ya 1 mpaka ya 36
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We huangaliii mpira mkuu unasimuliwa mpira..Hakuna sehemu bwana waliocheza vizuri. Ni wanapuyanga pira mbayuwayu
Afu ndo captain, yaan anaboa mnoo.We tangu 2019 hajafunga goli bado wanambeba
mimi mwarabu wa Maganzo shinyangaKwani Hawa si ndo walisema sio Waafrika. Ndugu zao ni waarabu kwani we ni Muarabu?
Sent from my TECNO KG5j using JamiiForums mobile app
HimidKwa nani?
Tumepambana mpaka sasa
Huko muhindi aliko muda huu atakuwa anajutia odds zake
Sasa huo ni mpira upi huo?Kocha alikua hana plan ya sisi kucheza kwenda mbele.
Wachezaji wanacheza hivyo kwa sababu ya formation ya kocha. Hapo ni kocha mbovu na formation mbovu.Himid aje aende bench mapema tu wakirud.
Kocha abadilike watu wajarb kwenda mbele kwa kuonana sio tu kutegemea mipira ya kubatisha ya juu.
Ndio shida ya hii timu inachanguliwa na Wachambuzi na wanaziAfu ndo captain, yaan anaboa mnoo.
Daaah.
Lile goli ni uzembe wa mabeki ,kipa kafanya vizuri kabisa , na kapanchi vizuri kabisaManula sio kipa tena. wangemuweka yule mzanzibari wa simba.