FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
kuna utatu mtakatifu kule mbele wa 🇲🇦 yaan manula asipopigwa 3 nahamannchi
 
Himid aje aende bench mapema tu wakirud.

Kocha abadilike watu wajarb kwenda mbele kwa kuonana sio tu kutegemea mipira ya kubatisha ya juu.
 
Hivi kuna nchi raia wake siyo wazalendo kama Watanzania (asilimia kubwa),
kwa mtindo huu hakuna pahala tutafit kama nchi walaqhi', tunapwaya karibu kila sekta..!!🙌
 
masikiniii mohamed hussein uwiii wanammengenyua wanavyotaka upande wake

Kibuuuui were r u mmmh
 
Ila Ziyech atasababisha penalt, maana ana uchuu huyoo balaa.
Mabeki wasipo kaa nae kwa tahadhari atatuchapa kinginee.
 
Back
Top Bottom