FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
We huangaliii mpira mkuu unasimuliwa mpira..
Nakushauri kwenye marudio.angalia Dakika ya 1 mpaka ya 36
Basi hujui mpira mkuu kama ule wewe waita kucheza vizuri. Natazama pira hapa kwa hisani ya yacine tv upo? We endelea kuchoma sindano mkuu
 
Hivi kuna nchi raia wake siyo wazalendo kama Watanzania (asilimia kubwa),
kwa mtindo huu hakuna pahala tutafit kama nchi walaqhi', tunapwaya karibu kila sekta..!!🙌
Kuna 'jamaa' fulani ndio sababu ya haya yote....
 
Bora niende nje nikazae kama mbuzi tu kuliko kuangalia hii mechi
 
niliwaambia mpe Morocco 1-0 ht
Tulia
Hata Belgium
alipigwa 2 na morocco's
Tusikate tamaa jaman tujivunie na haka kamoja kamuulizen ee bruyne
 
Tufukuze huyu kocha.
1. Amekuja kufanya kama hii timu ni nyumbani kwake. Anaita kikosi kwa siri, hataki kutoa taarifa ya maendeleo ya timu. Ona sasa mambo yapo hadharani tunapata aibu.

2. Kwa uchezaji huu, uwezo wake ni mdogo sana.
Hata Aje Pep ndugu,hatuna fighting spirit wabongo,halafu Vipaji ungaungaa. Tuvumilie tu kama kuzaliwa na Baba mlevii maskini.
 
Sasa mtu mnalaumu kocha

Timu nzima mchezaji ni samaatta na Novatus dismas

Wengine woote hamna kitu

Morocco wana mtu anaanza PSG, wana mtuu anaanza Sevilla, wana mtu anakuwa kwenye rotation man united
Wana mtu anaanza bayer munich

Mnataka nini watanzania

Kwangu mimi wakifungwa chini ya 2 goals wamejitahidi

Mnataka mchange history na nan? Haji mnoga?😂😂😂 acheni utani waheshimuni morocco
 
Back
Top Bottom