FT: Tanzania 0 - 3 Morocco | AFCON 2024 | San Pedro, Ivory Coast | 17.01.2024
Sasa mtu mnalaumu kocha

Timu nzima mchezaji ni samaatta na Novatus dismas

Wengine woote hamna kitu

Morocco wana mtu anaanza PSG, wana mtuu anaanza Sevilla, wana mtu anakuwa kwenye rotation man united
Wana mtu anaanza bayer munich

Mnataka nini watanzania

Kwangu mimi wakifungwa chini ya 2 goals wamejitahidi

Mnataka mchange history na nan? Haji mnoga?😂😂😂 acheni utani waheshimuni morocco
Isitoshe ni aibu kwa Morocco kuwa 1-0 up hadi sasa tuna bahati sana.

Half-Time analysis

Taifa Stars wapo disjointed na hawana viungo imara wenye kusaidia mashambulizi hivyo tutaendelea kucheza mchezo uleule wa kipindi cha kwanza.

Morocco wana timu yenye wachezaji wenye kuunganisha mashambulizi, kutafuta vyumba na akina Ziyech kuwa na nafasi za kufunga au kusababisha magoli.

Lakini Morocco wana dharau sana wamekodi hoteli yao peke yao mbali na kambi nzima ya timu zote za kwenye kundi.

Morocco ni timu iliyopo kwenye nafasi ya 22 kwenye world ranking, Tanzania ni ya 131!

Kwenye bara la Afrika CAF ranking Morocco ni ya 2 na Tanzania ni ya 36.

Tungojee kipindi cha pili chaja.
 
5yiifhuthu
 
Attachments

  • Screenshot_20240117_205750_Chrome.jpg
    Screenshot_20240117_205750_Chrome.jpg
    72.6 KB · Views: 2
Morocco angekutana na timu Zingine tofauti na Taifa stars angepata wakati mgumu....karibu mechi zote zilizochezwa Hakuna timu imecheza kizembe na uoga kama Taifa stars,kocha mbinu yake Ni kuzuiya tu karibu mechi zote.
 
1 .5 over inaweza isitoe pia hapo ndipo utakapoona majabu yaliyoletwa na betting
 
Isitoshe ni aibu kwa Morocco kuwa 1-0 up hadi sasa tuna bahati sana.

Half-Time analysis

Taifa Stars wapo disjointed na hawana viungo imara wenye kusaidia mashambulizi hivyo tutaendelea kucheza mchezo uleule wa kipindi cha kwanza.

Morocco wana timu yenye wachezaji wenye kuunganisha mashambulizi, kutafuta vyumba na akina Ziyech kuwa na nafasi za kufunga au kusababisha magoli.

Lakini Morocco wana dharau sana wamekodi hoteli yao peke yao mbali na kambi nzima ya timu zote za kwenye kundi.

Morocco ni timu iliyopo kwenye nafasi ya 22 kwenye world ranking, Tanzania ni ya 131!

Kwenye bara la Afrika CAF ranking Morocco ni ya 2 na Tanzania ni ya 36.

Tungojee kipindi cha pili chaja.
Sioiliza TV tbc wanawapongeza kwa kuppunguza magoli
 
Hao nao washamuona wa maana..wkt kule kwao kikosi kizima kinacheza nchi zinazojielewa...mabeki visiki...hapo wamemweka Mwanyeto....
Mwanyeto na bacca leo hawaonekanii km wao ndo wanao imbwa hapa nchinii, maana kwa Zimbwe hatushangaii kila siku wana mnanga.
Nashangaa kwa askari wa JKU [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwenye ukweli tuweke wazi, mabeki kule nyuma hakna kitu, hata awe De gea angefungwa tyuuh.

Huyo Diarra ndani ya kikosi chake cha Taifa kuna watu wa maana.

Mbna akiwa Yanga anafungwa, km kweli yeye ni mkalii hivyoo?
Kwahiyo huko kwenye timu ya mali wakifungwa utasemaje?
 
Huyu kocha ndio tatizo la kwanza. Huu mpira wa kupaki basi hautusaidii, anawafundisha waxhezaji kupiga back pass, kubaki nyuma tu
 
Sasa mtu mnalaumu kocha

Timu nzima mchezaji ni samaatta na Novatus dismas

Wengine woote hamna kitu

Morocco wana mtu anaanza PSG, wana mtuu anaanza Sevilla, wana mtu anakuwa kwenye rotation man united
Wana mtu anaanza bayer munich

Mnataka nini watanzania

Kwangu mimi wakifungwa chini ya 2 goals wamejitahidi

Mnataka mchange history na nan? Haji mnoga?[emoji23][emoji23][emoji23] acheni utani waheshimuni morocco
Ndo maana tunasema mpr wetu ni siasa nyng tu.

Mataifa mengne madg mbn wameonesha uwezo wana wanawakazia team kubwa unaona kbs wana game plan na wanaonana sisi game plan yetu ni kupiga back passes na kuomba Mungu tudefend vzr wasipate goal ambazo izo dua ni za kihuni.
 
Tatizo letu tunapiga sana pasi ambazo sio strategic tofauti na wenzetu ambao wanapiga pasi zenye malengo.

Kingine ni usahihi wa matendo,hizi long balls tunazopiga sio zenyewe kabisa.

Alafu sidhani kama hii plan ya kupack bus ni nzuri
anataka apunguze magoli ya kufungwa ili wakija akina zambia awapige za uso
 
Back
Top Bottom